Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu. Wokovu Ni kitendo Cha kumwamini bwana yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako ili akae ndani ya maisha yako. Yohana 1:1, Hapo mwanzo kulikuwapo Neno nae Neno alikuwako Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu pasipo yeye hakikufanyika chochote. Kila mtu inampasa kumwamini Mungu katika maisha yake ili awe beans na mwokozi katika maisha yake.Mungu ni mwenye huruma anampenda Kila mmoja wetu bila kubagua kabila, rangi ya mtu, tajiri au maskini kwake wote ni wake. Pia Mungu anaupendo wa ajabu hakuna wakufana naye kwa huruma zake aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwana wake wa pekee aje duniani atuokoe na kutukomboa katika shida na taabu tulizokuwa tukiteswa na shetani. Yohana 3:16, yesu alikubali with aliotumwa na Mungu akaja duniani akazaliwa Kama mwanadamu na akaishi Kama mwanadamu Kisha akasulubishwa msalaabani kwaajiri ya dhambi zetu, na siku ya tatu akafufuka kwa ushindi mkubwa akapaa m...