INJILI




    


Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu. Wokovu Ni kitendo Cha kumwamini bwana yesu kristo kuwa bwana na mwokozi  wa maisha yako ili akae ndani ya maisha yako. Yohana 1:1, Hapo mwanzo kulikuwapo Neno nae Neno alikuwako Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu pasipo yeye hakikufanyika chochote.
Kila mtu inampasa kumwamini Mungu katika maisha yake  ili awe beans na mwokozi katika maisha yake.Mungu ni mwenye huruma anampenda Kila mmoja wetu bila kubagua kabila, rangi ya mtu, tajiri au maskini kwake wote ni wake.
Pia Mungu anaupendo wa ajabu hakuna wakufana  naye kwa huruma zake aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwana wake wa pekee aje duniani atuokoe na kutukomboa katika shida na taabu tulizokuwa tukiteswa na shetani. Yohana 3:16, yesu alikubali with aliotumwa na Mungu akaja duniani akazaliwa Kama mwanadamu na akaishi Kama mwanadamu Kisha akasulubishwa msalaabani kwaajiri ya dhambi zetu, na siku ya tatu akafufuka kwa ushindi mkubwa akapaa mbinguni. Hakutuacha peke yet alituahidi kutuombea kwa baba msaidizi was kutusaidia ambaye  ni roho mtakatifu na Sasa yupo kwetu anatusaidia kutukumbusha kusoma neno lake Mungu na kutenda mapenzi ya Mungu. Pia alituahidi kwamba anatangulia kwenda kutuandalia makao ili alipo yeye na sisi siku moja tukafurahi pamoja naye mbinguni tukifurahia ushindi tulioshinda dhambi Yohana 14 :1


Injiri inaweza kutolewa kwa njia mbalimbali Kama vile; Nijia ya mahubiri na uimbaji,mtu anaweza kupokea wokovu kwa kuhubiriwa nakusikiliza njimbo za injiri na akabarikiwa na kuamua kumwamini Yesu kuwa beans na mwokozi wa maisha yake.
Njia ya uimbaji; Tunaona huduma mbalimbali Kama vile uimbaji was nyimbo za injiri waimbaji wengi wameimba nmlyimbo zinazombariki na kumwinua Mungu.

                                                                   
     
Njia ya mahubiri; Mtu anaweza kupata injiri kwa kuhubiriwa kanisani au kusikiliza mahubiri kwenye tv au redia kupitia watumishi wa Mungu au kwa kusoma neno lake Mungu mwenyewe.




                                         
Amina.



Wimbo wa Walter chilambo


Comments