Posts

Showing posts from May, 2019

MANABII WA UONGO.

Image
Manabii wa uongo Ni watu ambao  wajiita Ni watumishi wa Mungu ambao wanaibadili kweli ya Mungu kuwa uongo. Watu wengi wamedanganyika na kushawishika na miujiza ya kinabiibhiyo na kupelekea kupata matatizo mbalimbali na kupata hasara kwa kupeleka fedha zao kwa manabii ili wasaidiwe. Lakini Mungu wetu ametupa roho wake ili atusaidie kupambanua hizo roho,hivyo tunatakiwa kusoma neno lake Mungu na  kulifafanua vyema.                                

INJILI

Image
     Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu. Wokovu Ni kitendo Cha kumwamini bwana yesu kristo kuwa bwana na mwokozi  wa maisha yako ili akae ndani ya maisha yako. Yohana 1:1, Hapo mwanzo kulikuwapo Neno nae Neno alikuwako Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu pasipo yeye hakikufanyika chochote. Kila mtu inampasa kumwamini Mungu katika maisha yake  ili awe beans na mwokozi katika maisha yake.Mungu ni mwenye huruma anampenda Kila mmoja wetu bila kubagua kabila, rangi ya mtu, tajiri au maskini kwake wote ni wake. Pia Mungu anaupendo wa ajabu hakuna wakufana  naye kwa huruma zake aliupenda ulimwengu hata akamtuma mwana wake wa pekee aje duniani atuokoe na kutukomboa katika shida na taabu tulizokuwa tukiteswa na shetani. Yohana 3:16, yesu alikubali with aliotumwa na Mungu akaja duniani akazaliwa Kama mwanadamu na akaishi Kama mwanadamu Kisha akasulubishwa msalaabani kwaajiri ya dhambi zetu, na siku ya tatu akafufuka kwa ushindi mkubwa akapaa m...